Masedonia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 5:
Katika mwendo wa [[historia]] mipaka yake ilibadilika mara nyingi na leo hii ni takriban [[kilomita za mraba]] 67,000 zinazohesabiwa humo zinazokaliwa na [[watu]] [[milioni]] 4,7.
 
Eneo hili limegawanyika hasa kati ya nchi za [[Ugiriki]], [[Jamhuri ya Masedonia Kaskazini]] na [[Bulgaria]]; maeneo madogo yamo ndani ya [[Serbia]] na [[Albania]].
 
Katika [[karne ya 4 KK]] eneo hili lilikuwa kiini cha [[ufalme wa Masedonia]] unaojulikana hasa kutokana na [[wafalme]] wake [[Filipo II wa Masedonia|Filipo II]] na [[Aleksanda Mkuu]]. Wakati ule Masedonia ilihesabiwa kama sehemu ya [[utamaduni]] wa [[Ugiriki wa kale]].