Siberia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Siberia Federal Subjects.png|thumb|right|250px450px|Eneo la Siberia: nyekundu yote; Jimbo la Siberia ndani ya shirikisho la Urusi: nyekundu iliyokoleanyeusi.]]
'''Siberia''' (kwa [[Kirusi]]: Сиби́рь, ''Sibir''; kwa [[Kitartari]]: Seber) ni eneo kubwa [[mashariki]] mwa [[Urusi]]. Ni zaidi ya [[nusu]] ya eneo la Urusi wote. Eneo lake lote ni [[kilomita za mraba]] [[milioni]] 9.6 ambayo ni karibu sawa na [[Ulaya]] yote (km² milioni 10.6).