Funafuti : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
 
Mstari 1:
 
[[Picha:RuimtefotoFunafuti.jpg|350px|thumb|Funafuti kwa macho ya ndege]]
[[Picha:Northern Funafuti.jpg|300px|thumb|BarabaBarabara kwenye sehemu nyembamba ya Funafuti (kushoto: bahari, kulia: bwawa la ndani ya atolli)]]
[[Picha:Tuvalu - Funafuti - School.jpg|300px|thumb|Shule ya Funafuti]]
'''Funafuti''' ni [[mji mkuu]] wa [[Nchi za visiwa|nchi ya visiwa]] ya [[Tuvalu]] . Ina wakazi 4,492 (mwaka [[2002]]). [[Mji]] upo kwenye [[atolli]] ya Funafuti ambayo infanywainafanywa na [[visiwa]] zaidi ya 30 ambvyoambavyo ni vyembamba vyenyevikiwa na [[upana]] kati ya [[mita]] 20 hadi 400 pekee.
 
Wenyeji huishi katika vijiji 9 ambavyo pamoja hufanya mji wa Funafuti. [[Jengo|Majengo]] ya kiserikali[[serikali]] ya nchi yanapatikana kwenye kisiwa kikubwa cha atolli kinachoitwa Fongafale chenye kijji cha Vaiaku (wakazi 682).
 
Kuna [[Uwanja wa ndege|uwanja]] wa [[Uwanja wa ndege|ndege]], [[hoteli]] (Hoteli ya Vaiaku Langi ), na majengo ya kiutawala, na vile vile makazi. [[Nyumba]] za [[watu]] hujengwa kwa kufuata [[utamaduni]] wa [[jadi]] kwa viunga vya [[mitende]], na hivi karibuni pia kwa kutumia bloku za [[saruji]]. Jengo maarufu zaidi kwenye atolli ya Funafuti ni [[Kanisa]] la Tuvalu .
 
== Visiwa katika Funafuti ==
Kuna angalau [[Kisiwa|visiwa]] 33 kwenye atolli. Kubwa zaidi ni Fongafale, ikifuatiwa na Funafala. Angalau visiwa vitatu vinakaliwa, ambayo ni Fongafale, Funafala na Motuloa .
 
* Amatuku
* Avalau
* Falaoigo
* Fale Fatu (orau ''Falefatu'')
* Fatato
* Fongafale
* Fuafatu
* Fuagea
* Fualefeke (orau ''Fualifeke'')
* Fualopa
* Funafala
Mstari 30:
* Mulitefala
* Nukvalevale
* Papa Elise (orau ''Funangongo'')
* Pukasavilivili
* Te Afuafou
Mstari 36:
* Tefala
* Telele
* Tengako (peninsula ofya thekisiwa island ofcha Fongafale)
* Tengasu
* Tepuka
Mstari 45:
 
== Bwawa la ndani TeNamo ==
Bwawa la ndani ya atolli hujulikana kwa jina la TeNamo. Eneo lake la [[maji]] ni mnamo km<small><sup>2</sup></small> 275, ilhali eneo la nchi kavu linalozuguka bwawa la ndani ni chini ya km<small><sup>2</sup></small> 3.
 
== Mahali ==