Tofauti kati ya marekesbisho "Wahutu"

20 bytes added ,  miaka 2 iliyopita
no edit summary
d (Masahihisho aliyefanya 41.59.208.11 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Riccardo Riccioni)
Tag: Rollback
'''Wahutu''' ni [[tabaka]] (kuliko [[kabila]]) kubwa la [[watu]] wanaoishi katika eneo la [[Maziwa makubwa ya Afrika]], hasa [[Rwanda]] na [[Burundi]], lakini pia [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]] na [[Tanzania]], hasa baada ya [[vita vya wenyewe kwa wenyewe]]. Jumla yao ni zaidi ya [[milioni]] 11.5.
 
[[Lugha]] yao ni kati ya [[lugha za Kibantu]] na imegawanyika katika [[lahaja]] [[mbili]], [[Kinyarwanda]] na [[Kirundi]].