Volga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 8:
| urefu = 3,692 km
| kimo = 225 m
| tawimito = [[mto Oka]], [[Kama (mto)|mto Kama]]
| tawimito kulia =
| tawimito kushoto =
Mstari 16:
| miji = [[Astrakhan]], [[Volgograd]], [[Samara]], [[Kazan]], [[Nizhny Novgorod]], [[Yaroslavl]]
}}
[[Picha:Volgarivermap.png|thumb|right|Beseni yala Volga.]]
 
'''Volga''' (kwa [[Kirusi]]: '''Волга''') ni [[mto]] mrefu kuliko yote ya [[Ulaya]]. Mwendo wake kuanzia [[Chanzo (mto)|chanzo]] hadi [[mdomo]] uko nchini [[Urusi]]. [[Urefu]] wake ni [[km]] 3,690. Inanaza kaskazini- magharibi ya [[Moskva]] na kupita kwenye tambarare za Urusi ya magharibi. Inaishia kwenye [[Bahari ya Kaspi]] kwa kimo cha -28 (chini ya [[UB]]) karibu na [[mji]] wa [[Astrakhan]]. Volga inapokea takriban mito 200 inayoishia humo.
 
Mto ni [[njia ya maji]] muhimu inayounganana na:
Mstari 32:
Image:VolgaZimoy.JPG|Volga ikifunikwa kwa barafu wakati wa Januari
</gallery>
 
== Tazama pia ==
* [[Orodha ya mito ya Urusi]]