Zeland : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Created by translating the page "Zealand" |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[Picha:Denmark_location_sjalland.svg|thumb|300px|Zeland
'''Zeland''' ( [[Kidenmark]] : ''Sjælland'' ) ni [[kisiwa]] kikubwa cha [[Denmark]] kilichopo kwenye mashariki ya nchi hiyo. Inatenganishwa na [[Uswidi]] kwa [[mlangobahari]] wa [[Oresund|Øresund]] upande wa mashariki. Eneo la Zeland ni [[kilomita za mraba]] 7,031.
Kuna wakazi wapatao 2,268,000 wanaoishi kisiwani kufuatana na sensa ya 2016. Wengi wao wanaishi karibu na [[Kopenhagen]] ambayo ni [[mji mkuu]] wa Denmark.
Zeland imeungaishwa na sehemu nyingine za Denmark kwa njia ya [[madaraja]] na njia chini
* Daraja
* Daraja la Storstrøm, linalounganisha
* Daraja la [[Øresund]], ambalo linaunganisha
[[Jamii:Denmark]]
|