Chipsi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Viazi vilivyokatwa katwa na kukaangwa kwa mafuta.'
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Chipsi''' (kutoka [[Kiingereza]]: "chips"; pia: '''vibendo''', '''viepe''') ni mlo wa [[viazi]] vilivyokatwakatwa na kukaangwa kwa [[mafuta]]. Kwa kawaida huongezewa [[chumvi]] na [[mayai]] au [[kitoweo]] kingine.
Viazi vilivyokatwa katwa na kukaangwa kwa mafuta.
 
==Tazama pia==
* [[Chipsi kuku]]
* [[Chipsi mayai]]
{{mbegu-utamaduni}}
[[Jamii:Chakula]]