Chipsi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 4:
 
'''Chipsi''' zinajulikana hasa kama chipsi za viazi, tena kwa namna mbili tofauti:
*'''Chipsi moto''' (ing. (''[[:en:French fries|fries (Marekani), chips (Uingereza), pommes frites (Kifaransa na penginepo)]]'') ni vipande vya kiazi ambavyo mara nyingi vinalingana na ukubwa wa kidole kodogo vinakaangwa katika mafuta. Chipsi za aina hii huliwa zikiwa moto pamoja na nyama, kuku, samaki au peke yake, kwa kawaida pamoja sosi ya nyanya au pilipili. [[Chipsi mayai]] ni chipsi zinazokorogwa pamoja na mayai na kukaangwa tena.
 
*'''chipsi baridi''' (ing. ''[[:en:potato chips|potato chips, crisps]]'') ni vipande bapa na vyembamba sana vya chipsi vinakaangwa katika mafuta. Chipsi hizi huliwa mara nyingi peke zao. Vinauzwa madukani katika mfuko na kuliwa kama chakula baridi.