Kwadrato wa Utica : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Kwadrato wa Utica''' (alifariki 21 Agosti 258 au 259) alikuwa askofu wa mji huo (leo nchini Tunisia) aliyeuawa huko, wakati wa dhul...'
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Kwadrato wa Utica''' (alifariki [[21 Agosti]] [[258]] au [[259]]) alikuwa [[askofu]] wa [[mji]] huo (leo nchini [[Tunisia]]) aliyeuawa huko, wakati wa [[dhuluma]] ya [[kaisari]] [[Valerian]], siku nne baada ya waumini wake wote ([[Massa Candida]]).
 
[[Augustino wa Hippo]] alitoa [[hotuba]] kwa sifa yake.
 
Tangu kale anaheshimiwa na [[Wakatoliki]] na [[Waorthodoksi]] kama [[mtakatifu]] [[mfiadini]].