Fukusi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Badiliko la jamii
Ukurasa mpya
Tag: Removed redirect
Mstari 1:
{{Uainishaji
#REDIRECT [[Mbawakawa]]
| rangi = pink
| jina = Fukusi
| picha = Sitophilus.oryzae.7438.jpg
| upana_wa_picha = 300px
| maelezo_ya_picha = Kidungadunga wa mchele (''Sitophilus oryzae'')
| himaya = [[Mnyama|Animalia]] (Wanyama)
| faila = [[Arthropodi|Arthropoda]] (Wanyama wenye miguu yenye viungo)
| nusufaila = [[Hexapoda]] (Wanyama wenye miguu sita)
| ngeli = [[Insecta]] (Wadudu)
| ngeli_ya_chini = [[Pterygota]] (Wadudu wenye mabawa)
| oda = [[Coleoptera]] (Wadudu wenye mabawa magumu)
| nusuoda = [[Polyphaga]]
| familia_ya_juu = [[Curculionoidea]]
| subdivision = '''Familia 7:'''<br>
* [[Anthribidae]] (Fukusi-viyoga)
* [[Attelabidae]] (Fukusi wasokota majani)
* [[Belidae]] (Fukusi wa kimsingi)
* [[Brentidae]] (Fukusi wenye domo-nyofu)
* [[Caridae]] (Fukusi-misanduku)
* [[Curculionidae]] (Fukusi wa kweli)
* [[Nemonychidae]] (Fukusi wa maua ya misonobari)
}}
'''Fukusi''', '''vidungadunga''' au '''vipukusa''' ni [[wadudu]] wa [[familia ya juu]] [[Curculionoidea]] katika [[oda]] [[Coleoptera]]. Kuna familia 7 na moja, [[Curculionidae]], ni baina ya familia kubwa kabisa yenye [[jenasi]] 6800 na [[spishi]] 83,000. Familia ya juu ina spishi 97,000. Pengine familia mbili nyingine zinatambuliwa, [[Platypodidae]] na [[Scolytidae]], lakini siku hizi hupatiwa cheo cha [[nusufamilia]], ijapokuwa njia ya maisha yao ya kupukusa katika ubao imegeuza umbo lao sana.
 
==Maelezo==
Sifa bainifu ya fukusi ni domo ndefu yenye sehemu za kinywa kwenye ncha yake. Ukubwa wao unatofautiana kutoka [[mm]] 1 hadi 40. [[Kipapasio|Vipapasio]] vya spishi nyingi sana vimepindika kama [[kisugudi]], lakini fukusi wa kimsingi wana vipapasio nyofu.
 
[[Lava]] za fukusi hula [[tishu]] za [[mmea|mimea]], [[mti|miti]] au [[kiyoga|viyoga]] au [[mbegu]] zao. Wapevu hula [[ua|maua]], [[tunda|matunda]], [[mbelewele]], viyoga na kwa nadra [[wadudu]], kama vile [[mdudu-gamba|wadudu-gamba]].
 
==Kama chakula==
Lava za fukusi, zile kubwa hasa, huliwa mahali pengi pa dunia. Zinaweza kuliwa mbichi, zilizopikwa, zilizokaangwa au zilizobanikwa.
 
==Spishi zilizochaguliwa za Afrika ya Mashariki==
* ''Alcidodes leucogrammus'', [[Fukusi Milia wa Mkunde]]
* ''Aperitmetus brunneus'', [[Fukusi wa Mizizi ya Mchai]]
* ''Araecerus fasciculatus'', [[Kidungadunga wa Buni]]
* ''Cosmopolites sordidus'', [[Fukusi wa Mgomba]]
* ''Cylas formicarius'', [[Fukusi wa Kiazi Kitamu]]
* ''Euwallacea xanthopus'', [[Kipukusa wa Msandarusi]]
* ''Hypolixus haerens'', [[Fukusi wa Mchicha]]
* ''Neochetina bruchi'', [[Fukusi wa Yasinthi-maji]]
* ''Rhynchophorus phoenicis'', [[Sururu]]
* ''Sitophilus oryzae'', [[Kidungadunga wa Mchele]]
* ''Sitophilus zeamais'', [[Kidungadunga wa Mahindi]]
* ''Sphrigodes mixtus'', [[Fukusi wa Nyambene]]
* ''Sternochetus mangiferae'', [[Fukusi wa Maembe]]
* ''Xylosandrus crassiusculus'', [[Kipukusa Ambrozia wa Asia]]
 
==Picha==
<gallery>
Araecerus-fasciculatus-06-fws.jpg|Anthribidae/Choraginae (Kidungadunga wa buni, ''Araecerus fasciculatus'')
Attelabus nitens natur.jpg|Attelabidae/Attelabinae (''Attelabus nitens'')
Two Weevils..Semi-punctated Belid Weevil - Rhinotia semipunctata... - Flickr - gailhampshire.jpg|Belidae/Belinae (''Orthorhynchus semipunctatus'')
Cylas formicarius (14576849194).jpg|Brentidae/Brentinae (Fukusi wa kiazi kitamu, ''Cylas formicarius'')
CSIRO ScienceImage 2703 Waterhyacinth weevil Neochetina bruchi.jpg|Curculionidae/Brachycerinae (Fukusi wa Yasinthi-maji, ''Neochetina bruchi'')
Mango seed weevil 2.jpg|Curculionidae/Cryptorhynchinae (Fukusi wa maembe, ''Sternochetus mangiferae'')
Curculionidae - Rhynchophorus phoenicis.jpg|Curculionidae/Dryophthorinae (Sururu, ''Rhynchophorus phoenicis'')
Sitophilus.oryzae.7438.jpg|Curculionidae/Dryophthorinae (Kidungadunga wa mchele, ''Sitophilus oryzae'')
Maize weevil.jpg|Curculionidae/Dryophthorinae (Kidungadunga wa mahindi, ''Sitophilus zeamais'')
L208.jpg|Curculionidae/Scolytinae (Kipukusa wa mchai, ''Euwallacea fornicatus'')
Pronotal mycangium from ambrosia beetle.jpg|Curculionidae/Scolytinae (Kipukusa ambrozia wa Asia, ''Xylosandrus crassiusculus'')
Rhinorhynchus rufulus (Broun, 1880). Male.jpg|Nemonychidae/Rhinorhynchinae (''Rhinorhynchus rufulus'')
Curculio larva.jpg|Lava za Curculionidae
</gallery>
 
#REDIRECT [[Jamii:Mbawakawa]]
[[Jamii:Mbawakawa]]