Petro I wa Aleksandria : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[image:Vision of Peter of Alexandria.jpg|140px|thumb|Njozi ya Petro wa Aleksandria.]]
'''Petro I wa Aleksandria''' alikuwa [[Papa]] wa 17 wa [[Kanisa la Kikopti]] na alifia [[dini]] ya [[Ukristo]] [[tarehe]] [[25 Novemba]] [[311]] chini ya [[kaisari]] [[Diocletian]].
 
Pamoja naye waliuawa [[Padri|mapadri]] [[Fausto, Dio na Amoni]].
 
Tangu kale anaheshimiwa na [[Waorthodoksi wa Mashariki]], [[Waorthodoksi]] na [[Wakatoliki]] kama [[mtakatifu]].<ref>{{CathEncy|wstitle=St. Peter of Alexandria}}</ref>