Chipsi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
→‎Aina: nyongeza kodogo
Mstari 6:
==Aina==
Chipsi zinajulikana hasa kama chipsi za [[viazi]], tena kwa namna mbili tofauti:
*'''Chipsi moto''' (kwa [[Kiingereza]]: ''[[:en:French fries|fries (Marekani), chips (Uingereza), pommes frites (Kifaransa na penginepo)]]'') ni vipande vya kiazi ambavyo mara nyingi vinalingana na ukubwa wa [[kidole]] kidogo na vinakaangwa katika mafuta. Baada ya kukaanga ziwe kaukau upande wa nje lakini laini upande wa ndani. Baada ya kupoa si tena tamu sana. Chipsi za aina hiyo huliwa zikiwa moto pamoja na [[nyama]], [[kuku]], [[samaki]] au peke yake, kwa kawaida pamoja na [[sosi]] ya [[nyanya]] au [[pilipili]]. [[Chipsi mayai]] ni chipsi zinazokorogwa pamoja na [[mayai]] na kukaangwa tena.
 
*'''Chipsi baridi''' (kwa Kiingereza: ''[[:en:potato chips|potato chips, crisps]]'') ni vipande bapa na vyembamba sana vya chipsi ambavyo vinakaangwa katika mafuta hadi kukauka kabisa. Chipsi hizo huliwa mara nyingi peke yake. Vinauzwa [[duka|madukani]] katika [[mfuko]] na kuliwa kama chakula baridi. Chipsi baridi hutengenezwa pia kwa kutumia [[ndizi]], [[mizizi]] mingine yenye [[wanga]] au [[nafaka]] mbalimbali.
 
*'''Chipsi za tortilla''': pamoja na chipsi baridi za viazi kuna [[tortilla|chipsi za tortilla]] zilizoenea kimataifa zikiandaliwa kwa [[unga]] wa [[mahindi]]. Mara nyingi hutengenezwa [[Kiwanda|kiwandani]] na kuuzwa kwa wingi kupitia maduka. Kuna [[watu]] wanaozipika [[Nyumba|nyumbani]].
 
==Chipsi na afya==