Mawasiliano : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Holder (majadiliano | michango)
d corr using AWB
Ukubwa ni 12
Tags: KihaririOneshi Mobile edit Mobile web edit
Mstari 3:
Mawasiliano kwa kawaida hufafanuliwa kama "kupashana au kubadilishana ma[[wazo]], ma[[oni]], au [[habari]] kwa ma[[neno]], ma[[andishi]] au ishara".
 
Ingawa kuna mawasiliano ya [[njia]] moja, mawasiliano yanaweza kueleweka vyema kama mchakato kati ya wahusika wawili ambapo kuna mabadilishano na kukuza kwa [[fikra]], [[hisia]] au [[mawazo]] (nishati) kufikia [[lengo]] lililokubaliwa au [[mwelekeo]] uliokubaliwa (habari). <ref>{{cite book |last1=Schwartz |first1=Gary E. |last2=Simon |first2=William L. |last3=Carmona |first3=Richard |title=The Energy Healing Experiments |url=http://books.google.com/books?id=lj7CUO6uo4YC&pg=PA129&dq=Communication%20two-way%20process&f=false |page=129 |year=2008 |publisher=Simon & Schuster |isbn=0743292399 |quote=All communication is a process of exchanging energy and exchanging information.}}</ref><code>double space</code>
 
== Muhtasari ==