Morisi Mtakatifu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Mauritius Kopf.jpg|thumbnail|Morisi Mtakatifu katika [[sare ya kijeshi]]. [[Sanamu]] hiyo ipo katika [[kanisa kuu]] la [[Magdeburg]], Ujerumani.]]
[[Picha:DEU Büderich COA.svg|thumbnail|Morisi kama mwanajeshi kwenye nembo ya mji wa [[Buederich]], Ujerumani.]]
'''Morisi Mtakatifu''' (pia: '''Maurice''', '''Mauritius''') alikuwa [[kiongozi]] wa [[kikosi cha ThebiThebe]] katika [[jeshi]] la [[Roma ya Kale]].
 
==Kifodini chake==
Kufuatana na [[mapokeo]] ya [[karne ya 4]] kikosi hicho kilijumlisha wanajeshi [[Waafrika]] kutoka [[Misri]] ya [[kusini]] na [[Nubia]] waliotumwa [[Ulaya]] wakati wa [[Kaisari Maximiano]] wa [[Roma]]. Wengi wao walikuwa [[Wakristo]].
 
Huko [[Agaunum]] (leo [[Saint-Maurice-en-Valais]]), karibu na [[mto Rhone]], katika eneo la [[Uswisi]] wa leo, walipewa [[amri]] ya kujiandaa kwa mapigano dhidi ya waasi na kabla ya mapigano kutoa [[sadaka]] kwa [[Kaisari]] aliyeheshimiwa kama [[mungu]] mmojawapo. Wakristo hao walikataa kutoa sadaka hiyo. Kaisari alipopata habari hii akakasirika akatoa amri kuua kila [[askari]] wa kumi katika kikosi. Wakristo walipoendelea kukataa amri ilirudiwa hatimaye karibu kikosi chote kiliuawa pamoja na kiongozi chake Morisi.
 
==Heshima baada ya kifo==
Morisi pamoja na askari wa kikosi cha ThebiThebe waliheshimiwa mapema kama [[watakatifu]] na [[wafiadini]] Wakristo. Kati yao wanakumbukwa kwa jina [[Esuperi, Kandido na Vikta]].
 
Katika mapokeo ya [[sanaa ya Kikristo]] walichorwa kama Waafrika weusi.