Morisi Mtakatifu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 9:
 
==Heshima baada ya kifo==
Morisi pamoja na askari wa kikosi cha Thebe waliheshimiwa mapema kama [[watakatifu]] na [[wafiadini]] Wakristo. Kati yao wanakumbukwa kwa jina [[Esuperi, Kandidi na Vikta]]. Katika mapokeo ya [[sanaa ya Kikristo]] walichorwa kama Waafrika weusi.
 
[[Sikukuu]] yao huadhimishwa [[tarehe]] [[22 Septemba]].
Katika mapokeo ya [[sanaa ya Kikristo]] walichorwa kama Waafrika weusi.
 
Miji mbalimbali ya Uswisi na [[Ujerumani]] walitumia na wanatumia [[picha]] za Morisi au watakatifu wengine wa Kikosi cha Thebi katika [[nembo]] zao. Mara nyingi kama [[mji]] wa Ulaya una picha ya mtu mweusi katika nembo yake hii inammaanisha Morisi Mtakatifu au wenzake.