Esuperi wa Thebe : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''{{PAGENAME}}''' walikuwa askari wa jeshi la Roma ya Kale katika kikosi cha Thebe kilichoongozwa na Morisi Mtakatifu. Kufuatana na mapo...'
 
No edit summary
Mstari 1:
[[image:Martirio de San Mauricio El Greco.jpg|220px|thumb|[[El Greco]], ''[[Kifodini cha Mt. Morisi]]''.]]
'''{{PAGENAME}}''' walikuwa [[askari]] wa [[jeshi]] la [[Roma ya Kale]] katika [[kikosi cha Thebe]] kilichoongozwa na [[Morisi Mtakatifu]]<ref name=autogenerated1>Henry Wace, ''A Dictionary of Christian Biography, Literature, Sects and Doctrines'' (1880), 439.</ref>.
 
Kufuatana na [[mapokeo]] ya [[karne ya 4]] kikosi hicho kilijumlisha wanajeshi [[Waafrika]] kutoka [[Misri]] ya [[kusini]] na [[Nubia]] waliotumwa [[Ulaya]] wakati wa [[Kaisari Maximiano]] wa [[Roma]]. Wengi wao walikuwa [[Wakristo]].
Line 17 ⟶ 18:
*[[Orodha ya Watakatifu Wafransisko]]
 
==Tanbihi==
{{reflist}}
{{mbegu-Mkristo}}
[[Jamii:Waliofariki 286]]