Virusi vya kompyuta : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Protected "Virusi za kompyuta" ([Kuhariri=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho) [Kuhamisha=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho))
No edit summary
Mstari 1:
{{refimprove|date=June 2019}}
[[File:Virus Blaster.jpg|thumb|Worm aina ya Blaster ilitumika kutuma [[ujumbe]] huu kwa [[mwanzilishi]] wa kampuni ya [[Microsoft]], [[Bill Gates]].]]
'''Virusi zavya kompyuta''' (ing.kwa [[Kiingereza]]: ''computer virus'') ni [[programu]] haramu zenyeyenye uwezo wa kujisambaza ndani ya [[kompyuta]] na kujiingiza ndani ya programu halali zinazotakiwa kufanya [[kazi]] mle. Ikisambaa inaathiri programu halali na kusababisha hasara. [[Virusi]] zinasambaavinasambaa kwa njia ya [[intaneti]] lakini pia kwa njia ya [[sidii]] au diski yoyote ya kubebea [[data]] kati ya kompyuta tofauti. Virusi zinawezavinaweza kuharibu [[faili|mafaili]] na kupunguza uwezo na kasi wa ufanyaji kazi wa kompyuta.
 
==Jina==
Jina la [[virusi]] linatokana na neno la Kilatini "virus" linalomaanisha kiasili "sumu". Kwa kawaida hutumiwa kwa vyembe vidogo vinavyoundwa na mada jenetiki vyenye uwezo vya kujiingiza katika [[seli|seli za mwili]] ambako zinasambaa na mara nyingi kusababisha magonjwa. Matumizi ya jina hili kwa programu haribifu za kompyuta hurejelea namna yao ya kusambaa na kusababisha uharibifu.
 
Wasemaji wengi wa Kiswahili husikia ni neno la ngeli ya ki-,vi- wakipenda kutumia lugha ya "virusi vya, virusi vingi" lakini haimaanishi uwingi na hapa inatumiwa kama ngeli ya i-,zi-<ref>Matumizi ni sawa na maneno mengine ya asili ya Kilatini yaliyofika kwenye Kiswahili kupitia Kiingereza kama vile "video" na "visa" (kibali cha kuingia nchini) </ref>.
 
== Historia ==
Programu za virusi zilianzishwa tangu mwanzo wa kompyuta zenyewe. [[Wanahisabati]] maarufu kama [[John von Neumann]] walikadiria [[nadharia]] ya programu zenye uwezo wa kujiendeleza na hata kujisambaza peke yake tangu [[miaka ya 1950]].
 
Tangu kupatikana kwa kompyuta ndogo za nyumbani, imeonekana ya kwamba programu za aina hiyo zinaweza kuleta hasara mbalimbali. Mara nyingi programu (c) Brain hutajwa kama virusikirusi yacha kwanza iliyosambaakilichosambaa kwenye kompyuta ndogo tangu [[mwaka]] [[1986]]. Usambazaji wake ulikuwa kosa la watungaji wake waliotaka kukinga diski za programu halali waliyouza dhidi ya [[nakala]] haramu; waliandika [[namba]] ya [[simu]] yao ndani ya virusi.
 
Tangu kupatikana kwa intaneti kuna maelfu ya watu ambao wametunga programu za virusi kwa kusudi mbalimbali; mara nyingi ni [[vijana]] wanaotaka kujaribu uwezo wao wa kuandika programu za aina hiyo. Wengine wanakusudia mzaha tu wakitaka kuona mafanikio yao kwenye kompyuta za [[dunia]] yote. Kuna wengine wenye [[hasira]] dhidi ya [[kampuni]] kubwa kama [[Microsoft]], dhidi ya [[benki]], dhidi ya [[serikali]] au dhidi ya [[binadamu]] kwa jumla. Hao ni hatari zaidi wakijitahidi kusababisha hasara kubwa. Wengine hufuata kusudi za kisiasa wakilenga kompyuta za [[lugha]] au nchi fulani hasa. Virusi vingi vina malengo ya [[jinai|kijinai]] kwa sababu watungaji wao wanajaribu kupata [[faida]] ya kifedha kwa njia ya [[utapeli]] wakijaribu kuiba maneno ya siri kutoka kompyuta ya watu yanayomruhusu mtumiaji kuwasiliana na benki na kutuma fedha kwa [[akaunti]] nyingine.
Line 21 ⟶ 16:
 
== Hasara kubwa zilizosababishwa na "worm" ==
[[Tarehe]] [[24 Januari]] [[2003]], aina ya virusi cha kompyuta kiitwachoiitwacho "'''worm'''" kilitolewailitolewa ili kuathiri Intaneti. Worm ni mfululizo wa maelekezo ya kompyuta ambayo yanajiweka nakala nyingi-nyingi yenyewenyinginyingi na kuzituma kwa kompyuta nyingine.
 
HuyuHiyo "worm" ametumaimetuma nakala kibao zake mwenyeweyenyewe kwenye kompyuta nyingine kupitia Intaneti. HuyoHiyo worm ameharibuimeharibu mamilionimilioni kadhaa yaza kompyuta duniani. Imepunguza uwezo wa makompyutakompyuta kibao kupitia mitandao ya kompyuta.
 
== Kampuni za kupiga vita virusi ==
Sophos P-L-C ni kampuni ya kompyuta ya huko Uingereza ambayo inatengeneza programu za kuilinda kompyuta dhidi ya virusi. Hii ni kampuni ya nne kwa ukubwa ya kutengeneza program za kuzuia virusi.
 
Hivi karibuni, kampuni ya Sophos imetangaza onyo rasmi watumiaji wa kompyuta kujikinga dhidi virusi vipya vingi na worms. Tangazo lilitoa maelezo juu ya baadhi ya watu wanaofanya kazi kwa juhudi kutengeneza bidhaa pepe haramu za kompyuta. Kampuni ya Sophos ilisema ya kwamba hizi ni ripoti kutoka katika gazeti lililochapishwa nchini Singapore mnamo tar. 14 Januari, siku tu kablekabla ya shambulio la worm lililofanywa katika Slammer.
 
Graham Cluley ni mtalaamu wa kompyuta katika kampuni ya Sophos. Alisema kwamba kampuni za utengenezaji wa programu za kulinda kmpyuta zinategemea virusi vingi kwa mwaka huu. Alisema watunzi wa virusi wanataka kubuni virusi vingine vyenye nguvu kupita hata hivi vya worm. Hii itaweza kusambazwa kupitia ujumbe elektronikia au njia ya mawasiliano ya kompyuta iitwayo Instant Messaging (Ujumbe wa Haraka kama vile Yahoo Messenger, Google Talk, Windows Live Messenger, na kadhalika). Bwana Cluley aliendelea kusema kwamba aina hii ya virusi husababisha matatizo makubwa sana.
 
Wataalamu wa kompyuta wa Kampuni ya Sophos walisema kuna virusi zavya kompyuta takriban 40,000 ambavyo kwa sasa vinafahamika kama vipo. Wataalamui hao waliendelea kusema kwamba takriban virusi vipya 200 hutolewa kila mwezi kupitia Internet.
 
Bwana Cluley alisema miaka kumi au tisa iliyopita kompyuta nyingi zilizoharibiwa na virusi ni zile ambazo zinatumia Microsoft Windows kama ndiyo mfumo wake wa uendeshaji, yaani, operating system.