Virusi vya kompyuta : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Riccardo Riccioni moved page Virusi za kompyuta to Virusi vya kompyuta over redirect: usahihi wa jina
No edit summary
Mstari 2:
[[File:Virus Blaster.jpg|thumb|Worm aina ya Blaster ilitumika kutuma [[ujumbe]] huu kwa [[mwanzilishi]] wa kampuni ya [[Microsoft]], [[Bill Gates]].]]
'''Virusi vya kompyuta''' (kwa [[Kiingereza]]: ''computer virus'') ni [[programu]] haramu yenye uwezo wa kujisambaza ndani ya [[kompyuta]] na kujiingiza ndani ya programu halali zinazotakiwa kufanya [[kazi]] mle. Ikisambaa inaathiri programu halali na kusababisha hasara. [[Virusi]] vinasambaa kwa njia ya [[intaneti]] lakini pia kwa njia ya [[sidii]] au diski yoyote ya kubebea [[data]] kati ya kompyuta tofauti. Virusi vinaweza kuharibu [[faili|mafaili]] na kupunguza uwezo na kasi wa ufanyaji kazi wa kompyuta.
 
==Jina==
[[Jina]] la [[virusi]] linatokana na [[neno]] la [[Kilatini]] "virus" linalomaanisha kiasili "sumu"<ref>Matumizi yangeweza kuwa sawa na maneno mengine ya asili ya Kilatini yaliyofika kwenye Kiswahili kupitia Kiingereza kama vile "video" na "viza" (kibali cha kuingia nchini) ambayo hayamaanishi wingi. Hata hivyo wasemaji wengi wa [[Kiswahili]] husikia ni neno la ngeli ya ki-,vi- wakipenda kutumia lugha ya "virusi vya, virusi vingi".</ref>. Kwa kawaida hutumiwa kwa vyembe vidogo vinavyoundwa na [[maada]] [[jenetiki]] vyenye uwezo vya kujiingiza katika [[seli|seli za mwili]] ambako zinasambaa na mara nyingi kusababisha [[magonjwa]]. Matumizi ya jina hili kwa programu haribifu za kompyuta hurejelea namna yake ya kusambaa na kusababisha uharibifu.
 
== Historia ==