Amur : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 10:
| watershed = 1,929,955 km²
}}
[[Picha:Amur watershed.png|thumb|left|250px|Beseni yala Amur.]]
'''Amur''' (kwa [[Kirusi]]: '''Амур'''; kwa [[Kichina]]: '''heilong jiang''') ni [[mto]] mkubwa wa [[Asia ya Mashariki]] ambao ni mpaka kati ya [[Urusi]] na [[China]] kwa maelfu ya [[kilomita]].
 
Amur ina [[Chanzo (mto)|chanzo]] chake penye kuungana kwa [[tawimitotawimto|matawimto]] ya [[Argunmto (mto|Argun]] na [[mto Shilka]] karibu na [[kijiji]] cha [[Moguhe]] katika [[jimbo]] la [[Heilongjiang]]. Kuanzia hapahapo inafuata mwendo wake kwa [[urefu]] wa 2,874 km hadi kuishia katika [[Bahari ya Ohotsk]] ([[Pasifiki]]) karibu na [[kisiwa]] kikubwa cha [[Sakhalin]]. TawimitoMatawimto Argun na Shilka inaanzayanaanza katika [[Mongolia]] yenyewe na [[Mongolia ya Kichina]].
 
Pamoja na mwendo wa Argun urefu wa mto wote ni takriban km 4,666 km, hivyo ni mto mrefu wa nane [[duniani]].
 
Amur imekuwa mpaka kati ya China na Urusi tangu [[mkataba]] kati ya nchi hizi wa tar.[[tarehe]] [[27 Agosti]] [[1689]].
 
Amur imekuwa mpaka kati ya China na Urusi tangu mkataba kati ya nchi hizi wa tar. [[27 Agosti]] [[1689]].
== Tazama pia ==
* [[Orodha ya mito ya Urusi]]
{{mbegu-jio-Asia}}
[[Jamii:Mito ya China]]
[[Jamii:Mito ya Urusi]]