Fly (mto) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 2 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q739751 (translate me)
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Picha:New guinea ok tedi mine.PNG|thumb|Mwendo wa mto Fly pamoja na mahali pa migodi ya OK Tedi]]
'''Fly''' ni [[mto]] mrefu wa [[Papua Guinea Mpya]] pia kwenye [[kisiwa]] cha [[Guinea Mpya]] pamoja na [[mto Sepik]]. Ina [[urefu]] wa km 1,200 na [[beseni]] lenye eneo la [[km²]] 76.000. Matawimto muhimu ya Fly ni [[Strickland (mto)|Strickland]] na [[Ok Tedi (mto)|OK Tedi]].
 
'''Mto Fly''' niina [[Chanzo (mto)|chanzo]] mrefuchake wakwenye [[Papuasafu Guineaya Mpyamilima]] piaya kwenyekati ya kisiwa chakaribu na mpaka kati ya Papua [[Guinea Mpya]] pamoja na [[mtoPapua ya SepikIndonesia]]. InaMto urefuunaelekea wa 1,200 kmkusini na besenikupita yenye[[tambarare]] eneo la 76.000 km². Tawimito muhimukabla ya Flykuishia nikwenye [[Stricklandghuba (mto)|Stricklandya Papua]] nakwa [[Okmdomo]] Tedimpana (mto)|OKsana. Tedi]].
 
Beseni yala Fly inalina aina nyingi sana za [[mimea]] na wanayama[[wanyama]] wa pekee ni hazina ya kiekolojia. Mtoni penyewemwenyewe kuna aina 120 za [[samaki]], [[kobe]], [[mamba]] na wanyama wengine.
Mto Fly ina chanzo chake kwenye safu ya milima ya kati ya kisiwa karibu na mpaka kati ya Papua Guinea Mpya na [[Papua ya Indonesia]]. Mto unaelekea kusini na kupita tambarare kabla ya kuishia kwenye [[ghuba ya Papua]] kwa mdomo pana sana.
 
Mto unapitika kwa [[boti]] kwa urefu wa kilomita 1,000 kuanzia mdomo wake na kuingia ndani hivyo ni njia muhimu ya [[mawasiliano]] katika nchi yenye [[barabara]] chache.
Beseni ya Fly ina aina nyingi sana za mimea na wanayama wa pekee ni hazina ya kiekolojia. Mtoni penyewe kuna aina 120 za samaki, kobe, mamba na wanyama wengine.
 
=== Migodi ya dhahabu inachafushainachafua mto Fly ===
Mto unapitika kwa boti kwa urefu wa kilomita 1,000 kuanzia mdomo wake na kuingia ndani hivyo ni njia muhimu ya mawasiliano katika nchi yenye barabara chache.
 
=== Migodi ya dhahabu inachafusha mto Fly ===
Kuna matatizo mazito ya machafuko kwenye mto Fly. Migodi ya kampuni ya [[Ok Tedi Mining]] Ltd karibu na chanzo cha mto OK Tedi inateremsha mchanga mwingi pamoja na kemikali katika mto. Uchimbaji wa dhahabu na shaba hutumia kemikali za sumu kama vile zebaki na nyingine zilizosumisha maji na samaki mtoni. Kiasi kubwa cha mchanga na udongo cha tani milioni 80 chaingia mtoni kila mwaka na kuziba lalio wa mto na kusababisha mafuriko. Mafuriko ya maji yenye sumu yamesababisha kufa kwa misitu na bustani za watu kando la mto.