Luangwa (mto) : Tofauti kati ya masahihisho
no edit summary
d (Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q1321671 (translate me)) |
No edit summary |
||
}}
'''Mto Luangwa''' ni [[mto]] mkubwa wa [[Zambia]] ya [[mashariki]].
Kuna mto wa pili mdogo zaidi
==Mwendo==
Luangwa ina [[Chanzo (mto)|chanzo]] chake katika [[milima ya Mafinga]] karibu na mpaka wa [[Tanzania]] na [[Malawi]]. Kwa jumla huelekea [[kusini]] sambamba na mpaka wa Malawi. Unapita maeneo mapana ya hifadhi za taifa za Luangwa Kaskazini na Luambe hadi Luangwa Kusini.
Takriban [[kilomita]] 500 baada ya chanzo [[bonde]] la mto linakuwa
Mto unaishia katika [[Zambezi]] kwenye [[mji]] wa [[Luangwa]].
==Mabadiliko makubwa ya kiwango cha maji==
Kiasi cha [[maji]] ndani ya mto hubadilika sana kufuatana na [[majira]]. Wakati wa [[ukame]] mto una maji kidogo na mahali pengi unapitika kwa [[miguu]]. Lakini kati ya [[Desemba]] hadi [[Machi]] wakati wa [[mvua]] katika [[milima]] ya chanzo chake na cha
{{Mbegu-jio-Zambia}}▼
[[Jamii:Mito ya Afrika]]
[[Category:Mito ya Zambia]]
[[Jamii:Mito ya Malawi]]
[[Jamii:Mito ya Msumbiji]]
|