Brazil : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 79:
=== Mito muhimu ===
[[Picha:Amazonas.png|thumb|none|500px|Ramani ya mwendo wa Amazonas inayovuka bara lote.]]
Brazil ina mto mkubwa na mrefu wa dunia ambayo ni [[Amazonas (mto)|Amazonas]] wenye urefu wa takriban [[kilometa]] 7000. [[TawimitoTawimto|Matawimto]] yake muhimu ni [[Río Purús]], [[Rio Negro (Amazonas)|Rio Negro]] na [[Rio Tapajós]].
Katika mashariki kuna mto [[Iguaçu]] wenye [[maporomoko ya Iguaçu]] ambayo ndiyo makubwa duniani.
Mstari 88:
[[Lagoa dos Patos]] karibu na [[Porto Alegre]] ni wangwa kubwa la Brazil lenye 10.000 km².
 
[[Ipiranga]] si mto mkubwa, hata kama jina lake linapatikana katika [[wimbo wa taifa]].
 
=== Visiwa ===