Daniel Wu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'alt=Daniel Wu|thumb|Daniel Wu '''Daniel Wu Yan-Zu''' (Kwa Kichina: 吳彥祖; pinyin: Wú Yànzǔ; amezaliwa Septemba...'
 
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Daniel Wu by Gage Skidmore.jpg|alt=Daniel Wu|thumb|Daniel Wu]]
'''Daniel Wu Yan-Zu''' (Kwakwa [[Kichina]]: 吳彥祖; [[pinyin]]: Wú Yànzǔ; amezaliwa [[Septemba 30]], [[1974]]) ni muigizaji[[mwigizaji]] wa [[Marekani]] mwenye [[asili]] ya [[China]], mkurugenzi na mtayarishaji ambaye ni nyota katika safu ya maigizo ya [[sanaa ya mapigano]] ya AMC ''[[Into the Badlands]]''. Tangu aanze kuigiza mwaka 1998, ameshiriki katika [[filamu]] takriban 60.
 
== Maisha ya zamani ==
Wu alizaliwa huko [[Berkeley]], [[California]], na kukulia [[Orinda]], California. Wazazi wake, Diana, profesa wa chuo kikuu na George Wu, mhandisi aliyestaafu, ni watu wa kabila la Shanghai. Baba yake alihamia [[Marekani]] baada ya mapinduzi ya kikomunisti nchini [[China]] mnamo [[1949]] na alikutana na mama yake huko [[New York]], ambapo alikuwa mwanafunzi. Baada ya kuoa, walikaa California. Wu ana dada wawili wakubwa, Greta na Gloria na kaka mkubwa ambaye alifariki akiwa na miaka miwili.
{{mbegu-igiza-filamu}}
{{BD|1974|}}
[[Jamii:Waigizaji filamu wa Marekani]]