Dionysius Mwareopago : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Menologion of Basil 025.jpg|thumb|300px|[[Picha takatifu]] ya Mt. Dionysius kutoka Ugiriki.]]
[[File:Dionysiou Ta Sozomena Panta.tif|thumb|Opera omnia, 1756.]]
'''Dionysius Mwareopago''' (kwa [[Kigiriki]] Διονύσιος ὁ Ἀρεοπαγίτης; alifariki [[95]] hivi) aliishialikuwa [[askofu]] wa kwanza wa [[Athene]], [[Ugiriki]]<ref>Eusebius, katika ''[[karneChurch yaHistory 1(Eusebius)|Historia Ecclesiae]]'' III: iv</ref>.
 
Umaarufu wake umetokana na [[Mdo]] 17:34 kusimulia kwamba alikuwa kati ya wachache waliosadiki [[hotuba]] aliyoitoa [[Mtume Paulo]] katika [[Areopago]] kuhusu [[Kristo]] na [[ufufuko]].
 
Umaarufu uliongezeka baada ya mtu[[mwanafalsafa]] asiyejulikana kutoka [[Siria]] kuandika [[vitabu]] mbalimbali akitumia [[jina]] la Dyonisius huyo mwanzoni mwa [[karne ya 6]].
Mapokeo yanasema akawa [[askofu]] wa kwanza wa Athene.<ref>Eusebius, ''[[Church History (Eusebius)|Historia Ecclesiae]]'' III: iv</ref>
 
Tangu kale anaheshimiwa kama [[mtakatifu]] [[mfiadini]]<ref>Vetus Martyrologium Romanum: "Athenis, Dionysii Areopagitae, sub Adriano diversis tormentis passi, ut Aristides testis est in opere quod de Christiana religione composuit"</ref>.
Umaarufu uliongezeka baada ya mtu asiyejulikana kutoka [[Siria]] kuandika vitabu mbalimbali akitumia jina la Dyonisius huyo mwanzoni mwa [[karne ya 6]].
 
Anaheshimiwa[[Sikukuu]] kamayake huadhimishwa [[mtakatifutarehe]] [[mfiadini3 Oktoba]].
 
==Tazama pia==
[[File:Dionysiou Ta Sozomena Panta.tif|thumb|Opera omnia, 1756]]
*[[Watakatifu wa Agano la Kale]]
*[[Orodha ya Watakatifu Wakristo]]
Mstari 26:
*[http://ocafs.oca.org/FeastSaintsViewer.asp?SID=4&ID=1&FSID=102843 Hieromartyr Dionysius the Areopagite the Bishop of Athens] Orthodox [[icon]] and [[synaxarion]]
*[http://www.westsrbdio.org/prolog/my.html?month=October&day=3&Go.x=11&Go.y=11 The Holy Hieromartyr Dionysius the Areopagite] entry from the ''Prologue from Ochrid'' by [[Nikolaj Velimirović]]
* [http://www.fairytalechannel.org/2010_04_12_archive.html A Translation of Grimm's Saga No. 439 about Saint Dionysius and King Dagobert]
{{mbegu-mtu-Biblia}}
 
{{DEFAULTSORT:Dionysius Mwareopago}}
[[Jamii:Waliofariki 95]]
[[Category:Watu wa Biblia]]
[[Category:Maaskofu Wakatoliki]]