Rubela : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
 
[[Picha:Infant with skin lesions from congenital rubella.jpg|300px|thumb|Mtoto anayeonyesha dalili za rubela]]
 
'''Rubella''', inajulikana pia kama surua ya Kijerumani au surua ya siku tatu <ref name=Neighbors2010>{{cite book|last=Neighbors|first=M|last2=Tannehill-Jones|first2=R|title=Human diseases|edition=3rd|chapter=Childhood diseases and disorders|pages=457–79|publisher=Delmar, Cengage Learning|location=Clifton Park, New York|year=2010|isbn=978-1-4354-2751-8}}</ref>, ni maambukizi yanayosababishwa na [[virusi]] vya rubella. Ugonjwa huu mara nyingi ni sio mkali na nusu ya watu hawatambui kuwa ni wagonjwa.<ref name=WHO2011>{{cite journal|title=Rubella vaccines: WHO position paper.|journal=Wkly Epidemiol Rec|date=15 July 2011|volume=86|issue=29|pages=301-16|pmid=21766537|url=http://www.who.int/wer/2011/wer8629.pdf}}</ref> Upele unaweza kuanza karibu wiki mbili baada ya kushambuliwa na hivyo virusi na hudumu kwa siku tatu. Kawaida huanza kwenye uso na kuenea kwa mwili wote. Upele sio mkali kama ule wa [[ukambi]] na wakati mwingine huwa mkali. Homa, maumivu ya koo, na uchovu huweza pia kutokea. Maumivu ya viungo kwa watu wazima ni kawaida. Dalili nyingine ni pamoja na za kutokwa na damu, uvimbe wa pumbu, na kuvimba kwa mishipa. Kuambukizwa mwanzoni mwa ujauzito kunaweza kusababisha mtoto kuzaliwa na ugonjwa huu au kuharibika mimba.