Visiwa Vipya vya Siberia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 6:
== Jiografia ==
[[Picha:NewSiberianIslands.png|thumb|250x250px| Mahali pa Visiwa vya New Siberian ndani ya Urusi. ]]
Kwa jumla ni idadi kubwa ya visiwa ambavyo kwa jumla vina eneo la nchi kavu ya km2 29,000. Kikubwa ni kisiwa cha Kotelny chenye eneo la km2 11,700. Visiwa vyote hufununkwa na theluji na barafu. Hakuna wanadamu wanaoshi hapa.
 
Mifupa ya viboko, vifaru na mamaothi inapatikana ikionyesha kwamba zamani tabianchi ilikuwa tofauti.
 
== Marejeo ==