Plato : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Picha:Head Platon Glyptothek Munich 548.jpg|thumb|right|[[Sanamu]] ya [[kichwa]] cha Plato.]]
'''Plato''' (kwa [[Kigiriki]]: 'Πλάτων, ''Platon'''; [[427 KK]] - [[347 KK]]) alikuwa kati ya [[wanafalsafa]] muhimu zaidi wa [[Ugiriki ya Kale]]., Alikuwaakiwa [[mwanafunzi]] wa [[Sokrates]] na [[mwalimu]] wa [[Aristoteles]].
 
Alibuni mawazo mengi yenye maana hadi leo. Wanafalsafa wa kisasa wamesema ya kwamba [[falsafa]] yote inamtegemea Plato.
 
Aliandika mafundisho yake kwa [[umbo]] la [[majadiliano]] - yaani [[watu]] wawili au zaidi wanajadili mawazo wakikubaliana au kutokubaliana nayo. Kwa njia hiyo Plato alipenda kueleza fikra zake.
 
Mara nyingi Sokrates ni msemaji mkuu katika majadiliano ya Plato. Huonyeshwa akiwauliza watu juu ya yale wanayoyaamini akiendelea kuuliza maswali kama mawazo yao yanalingana na [[mantiki]]. Haieleweki ni kiasi gani Plato alitumia kweli mafundisho ya Sokrates mwenyewe au kama alimtumia zaidi kwa[[fasihi|kifasihi]] njiakama ya kifasihi[[mhusika]] akieleza fikra zake Plato kupitia [[mdomo]] wa Sokrates wa majadiliano.
 
Kati ya [[maandiko]] muhimu zaidi ya Plato ni "Politeia" yaani "kuhusu dola".
 
== Dhana na vitu ==
Katika falsafa ya Plato kuna tofauti muhimu kati ya dhana na kitu. [[Dunia]] ya kweli ni dunia ya dhana. Vitu ni
 
{{mbegu-mtu}}