E-Sir : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
wiki
Kuboresha kiasi
Mstari 11:
|Miaka ya kazi = 2001-2003
}}
'''Issah Mmari''' ([[20 Mei]] [[20, 1981]] – Machi 16, 2003) alikuwa msanii wa [[muziki wa hip hop]] na [[kapuka]] kutoka mjini [[Nairobi]] huko nchini [[Kenya]]. Alifahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama '''E-Sir'''. Alikuwa akifanyia shughuli zake katika studio ya [[Ogopa DJs]] ambaye alikuwa maarufu kwa uwezo wake wa kuimba na amri ya [[Kiswahili]] lugha. Bado yeye huonekana kama Muimbaji wa rap bora sana kuwahi kutokea nchini [[Kenya]]. Alikuja kujulikana mwaka 2001 na wimbo wakea wa "Jo", wimbo aliufanya katika sambamba na mtindo wa [[Black Rob]] katika ngoma yake ya "WHOA." Wimbo huo ulifanya E-Sir's ajulikane katika mziki wa [[Kenya]] na aliwekwa katika albamu ya [[Ogopa Deejays]] Aliweza kutoa alikwenda albamu yake ya "Nimefika" mwaka wa 2003 ambayo iliweza kufanya vema zaidi. Yeye alishinda katika sehemu 4 kwenya [[Kisima Music Awards]].ya mwaka 2003
 
E-Sir alikufa katika ajali ya barabarani tarehe 16 Machi 2003, akiwa na mwenzake [[Nameless]]. Alikuwa njiani kutoka mji wa [[Nakuru]] ambapo alipokuwa ameenda kupigia upato albamu yake. Mashabiki wake walikuwa na huzuni na mshangao mkubwa baada ya kusikia juu ya msanii huyu shupavu. Hasaa hii ni kwa sababu kifo chake kilikuja wakati nyimbo zake zilikuwa zimeanza kufana sana nchini. Nyimbo zilizojulikana zaidi ni kama "Mos Mos," "Boomba Train," "Hamunitishi" na "Leo ni Leo." Kuna wimbo mmmoja uliotokea baada ya kifo chake.Wimbo huo alifanya na [[Nameless]] na unaitwa "Maisha".
Mstari 17:
Ndugu ya E-sir mdogo [[Habib]] pia ni msanii na pamoja na Manga wametoa nyimbo kadhaa kama"dunda" na "fever"
 
== Albamu ya Nimefikanimefika ==
'''Nyimbo kwenye Albamu'''