John Magufuli : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Chanzo cha picha maelezo ya Rais kutoka akaunti yake rasmi ya Twitter.
Mstari 40:
 
==Elimu==
[[Picha:Magufuli Katoke Seminari 1975.jpg|left|thumb|Magufuli kijana akiwa kidato cha kwanza katika shule ya Seminari Katoke, Machi 1975.<ref>{{Cite web|title=Utumishi = Kujifunza + Kujitoa. Miaka 40 iliyopita, Machi 1975 nikiwa mwanafunzi, Kidato cha Kwanza Katoke Seminari.pic.twitter.com/3xbPjlmKWp|url=https://twitter.com/magufulijp/status/625368624409280515?lang=en|work=@magufulijp|date=2015-07-26|accessdate=2019-11-13|language=fi|author=Dr John Magufuli}}</ref> ]]
Ana [[Shahada]] ya [[Uzamivu]] ya [[Kemia]] ([[2006]] – [[2009]]) kutoka [[Chuo Kikuu cha Dar es Salaam]]. Pia miaka [[1991]] – [[1994]] alisomea Shahada ya [[Uzamili]] (Kemia) katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, na baadaye Chuo Kikuu cha [[Salford]] nchini [[Uingereza]] na miaka [[1985]] – [[1988]], alisoma Shahada ya Kwanza ya Elimu katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam akichukua masomo ya Kemia na [[Hisabati]]. Kabla ya hapo Magufuli alisoma [[diploma]] katika Chuo cha Mkwawa akichukua masomo ya Kemia na Hisabati, hiyo ilikuwa miaka [[1981]] – [[1982]].