Rasi ya Antaktiki : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Created by translating the page "Antarctic Peninsula" |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[Picha:Antarctica_map_indicating_Antarctic_Peninsula.JPG|right|thumb|200x200px|
[[Picha:Ant-pen_map.png|left|thumb|
'''Rasi ya Antatiki''' ndio [[rasi]] kubwa kabisa huko [[Bara la Antaktiki|Antaktiki]]
Rasi ina [[urefu]] wa [[Kilomita|km]] 1300 kuanzia [[Rasi Adams]] kwenye [[Bahari ya Weddell]] hadi mwisho wake upande wa kaskazini uliopo kama km 1,000 kutoka [[Nchi ya Moto|Tierra del Fuego]], sehemu ya [[kusini]] kabisa ya [[Amerika ya Kusini|Amerika Kusini]].
Rasi yote inafunikwa na tabaka nene la barafu ya kudumu; hata hivyo ni sehemu ya antaktiki ambako baridi inapungua kidogo. Joto wastani wa rasi hucheza kati ya sentigredi +1 hadi +2 kwenye mwezi wa Januari na °C −15 hadi −20 kwenye Juni. <ref>{{Cite web|url=http://www.sciencedaily.com/releases/2012/08/120822131212.htm|accessdate=2013-2-11|title=New Climate History Adds to Understanding of Recent Antarctic Peninsula Warming|publisher=[[Science Daily]]}}</ref> ▼
Kuna vituo vingi vya [[utafiti]] wa kisayansi kutoka [[mataifa]] mbalimbali pamoja na madai ya nchi hizi juu ya maeneo ya rasi.
Kuna milima mingi inayofika kimo ch mita 2,800. Kijiografia milima hii hutazamiwa kama sehemu ya kusini kabisa ya [[Andes|safu za Andes]] za Amerika Kusini. ▼
▲Rasi yote inafunikwa na [[tabaka]] nene la [[barafu]] ya kudumu; hata hivyo ni sehemu ya
▲Kuna [[milima]] mingi
== Marejeo ==
{{Reflist}}
{{mbegu-jio}}
[[Jamii:Jiografia ya Antaktiki]]
|