Kati (Takwimu) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 3:
'''Kati''' (kwa [[Kiingereza]] "median") ni namba x inayogawanyika mara mbili sampuli ya [[data]]. Kati ni [[kipimo cha mwelekeo wa kati]].
 
Kwa mfano, katika sampuli ya data hii 1,2,3,5,7,8,9,11,12,15,18,27,30 kati ni 9.

<br />
 
== Kwa programu ya takwimu R ==
Ili mtafute kati kwa lugha ya [[programu ya takwimu R]] mandike :
 
<code>> SampuliYangu<- c(7, 4, 3, 6, 9, 2, 9, 13, 9, 9)</code>
 
<code>> median(SampuliYangu)</code>
 
<code>[1] 8</code>
 
== Marejeo ==