Mkengeuko wastani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|Mkengeuko wastani wa sampuli ya data ya kawaida. '''Mkengeuko wastani''' (kwa Kiingereza "standard deviatio...'
 
No edit summary
Mstari 2:
 
 
'''Mkengeuko wastani''' (kwa [[Kiingereza]] "standard deviation") ni kipimo cha kiasi cha tawanyiko ya sampuli ya data. Mkengeuko wastani wa chini unaonyesha [[thamani]] za sampuli ya data ni karibu na [[wastani]], ilhali mkengeuko wastani wa juu unaonyesha thamani ni mbali na wastani.