Fasihi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Typo fix
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Added content for clarity
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 1:
'''Fasihi''' (kutoka [[neno]] la [[Kiarabu]] فصاحة ''fasaha'' kwa maana ulimbi au "literacy" kwa kiingereza) ni [[utanzu]] ([[tawi]]) wa [[sanaa]] ambao hutumia [[lugha]] ya [[mazungumzo]] au [[maandishi]] ili kufikisha (kuwasilisha) [[ujumbe]] kwa [[hadhira]] husika. Ni [[ufundi]] wa kuwasilisha mawazo au ujumbe ulio katika fikra za [[binadamu]].
 
Vipengele vinavyounda fani ya fasihi ni kama ifuatavyo: [[fani (fasihi)|fani]] ni [[umbo]] la nje la [[kazi]] ya [[fasihi]]; [[maudhui]] ni umbo lake la ndani.