Tofauti kati ya marekesbisho "Fasihi"

6 bytes added ,  miaka 2 iliyopita
no edit summary
(Added content for clarity)
Tags: Mobile edit Mobile web edit
No edit summary
'''Fasihi''' (kutoka [[neno]] la [[Kiarabu]] فصاحة, ''fasaha'' kwa maana ya ulimbi au "literacy" kwa kiingereza[[Kiingereza]]) ni [[utanzu]] ([[tawi]]) wa [[sanaa]] ambao hutumia [[lugha]] ya [[mazungumzo]] au [[maandishi]] ili kufikisha (kuwasilisha) [[ujumbe]] kwa [[hadhira]] husika. Ni [[ufundi]] wa kuwasilisha mawazo au ujumbe ulio katika fikra za [[binadamu]].
 
Vipengele vinavyounda fani ya fasihi ni kama ifuatavyo: [[fani (fasihi)|fani]] ni [[umbo]] la nje la [[kazi]] ya [[fasihi]]; [[maudhui]] ni umbo lake la ndani.
 
==Fani==
==Dhima za fasihi katika maisha==
Fasihi hufanya kazi mbalimbali katika maisha:
*Kuelimisha jamii - Fasihi hutumika kama nyenzo ya kuelimisha jamii, kupitia fasihi wanajamii wanaweza kuelimishwa juu ya mambo mabalimbalimbalimbali, kama vile juu ya umuhimu wa kuishi kwa amani, umuhimu wa kijikomboa kifikra, umuhimu wa kujikomboa kiuchumi, ubaya wa ufisadi na kadhalika.
*Kukuza utamaduni - Kupitia fasihi simulizi, tamaduni na mila za jamii husika huhifadhiwa. Kwa mfano kupitia methali, misemo, nahau na vitendawili unaweza kujua mila na tamaduni za jamii husika.
 
*Kukuza lugha - Fasihi hutumia lugha kufikisha ujumbe wake katika jamii, lugha ya fasihi huwa ni ya kisanaa zaidi na hivyo kuifanya iwe yenye mvuto kwa wasikilizaji au wasomaji. Mtu anaposoma au kusikiliza kazi ya fasihi anapata ujuzi wa lugha. Lakini pia fasihi yenyewe inaweza kutumika kama chombo cha kukuza lugha. Wasimulizi na waandishi wa fasihi huhitaji kuwa na utajiri mkubwa wa lugha.
*Kukuza utamaduni -Kupitia fasihi simulizi, tamaduni na mila za jamii husika huhifadhiwa. Kwa mfano kupitia methali, misemo, nahau na vitendawili unaweza kujua mila na tamaduni za jamii husika.
*Kuburudisha jamii - Pamoja na mambo mengine fasihi inalenga kuburudisha jamii. Kupitia takribani vipera vyake vyote, fasihi huwa na kusudi la kufurahisha, kutumbuiza na kusisimua hadhira, kwa mfano kupitia nyimbo, hadithi, mashairi na kadhalika.
 
*Kukuza lugha-Fasihi hutumia lugha kufikisha ujumbe wake katika jamii, lugha ya fasihi huwa ni ya kisanaa zaidi na hivyo kuifanya iwe yenye mvuto kwa wasikilizaji au wasomaji. Mtu anaposoma au kusikiliza kazi ya fasihi anapata ujuzi wa lugha. Lakini pia fasihi yenyewe inaweza kutumika kama chombo cha kukuza lugha. Wasimulizi na waandishi wa fasihi huhitaji kuwa na utajiri mkubwa wa lugha.
 
*Kuburudisha jamii-Pamoja na mambo mengine fasihi inalenga kuburudisha jamii. Kupitia takribani vipera vyake vyote, fasihi huwa na kusudi la kufurahisha, kutumbuiza na kusisimua hadhira, kwa mfano kupitia nyimbo, hadithi, mashairi na kadhalika.
 
*Kukomboa jamii.
*Kuonya jamii - Fasihi ina jukumu la kuhakikisha wanajamii wanakaa katika mstari wa maadili ya jamii husika. Kupitia fasihi wanajamii wanapewa mwongozo wa jinsi ya kufuata mwelekeo unaokubalika katika jamii.
 
*Kuonya jamii-Fasihi ina jukumu la kuhakikisha wanajamii wanakaa katika mstari wa maadili ya jamii husika. Kupitia fasihi wanajamii wanapewa mwongozo wa jinsi ya kufuata mwelekeo unaokubalika katika jamii.
 
*Kukuza uwezo wa kufikiri-Vipera vingi vya fasihi huwachochea hadhira kufikiri sana ili kupata suluhisho. Kwa mfano, vitendawili, ngano za mtanziko na kadhalika.