Tofauti kati ya marekesbisho "Grand Theft Auto: Liberty City Stories"

no edit summary
No edit summary
No edit summary
 
'''Grand Theft Auto: Liberty City Stories''' ni mchezo uliotengenezwa kwa kushirikiana kati ya [[Rockstar Leeds]] na [[Rockstar North]], na kuchapishwa na [[Rockstar Games|Michezo ya Rockstar]]. Ulitolewa mnamo tarehe [[24 Oktoba]] [[2005]] kwa ajili ya [[PlayStation Portable]]([[PSP]]).
 
Grand Theft Auto: Liberty City Stories ni mchezo wa tisa katika mfululizo wa [[Grand Theft Auto]], ilitanguliwa na [[Grand Theft Auto: San Andreas]] na kufanikishwa na [[Grand Theft Auto: Vice City]]. Ni muhtasarihakikisho wa [[Grand Theft Auto III]].
 
Kwa ajili ya [[PlayStation 2]] mchezo huu ulitolewa mnamo tarehe [[6 Juni]] [[2006]] huko [[Amerika ya Kaskazini]]. Wakati wa kutolewa, bei ya rejareja iliyopendekezwa kwa ajili ya toleo la PS2 ilikuwa karibu na nusu ya bei ya toleo la PSP.Pia mchezo huu ulitolewa kwa ajili ya vifaa kama [[iOS]], [[Android]] na [[Fire OS]] mnamo tarehe [[17 Disemba]] [[2015]], 11 Februari 2016 na 11 Machi 2016 kwa mfululizo.
280

edits