Tofauti kati ya marekesbisho "Grand Theft Auto IV"

2 bytes removed ,  miaka 2 iliyopita
no edit summary
'''Grand Theft Auto IV''' ni [[mchezo]] ambao ulitengenezwa na [[Rockstar North]] na kuchapishwa na [[Rockstar Games]]. Mchezo huu ulitolewa kwa ajili ya [[PlayStation 3]] na [[Xbox 360]] mnamo tarehe [[29 Aprili]] [[2008]] na kwa ajili ya [[Microsoft Windows]] mnamo tarehe [[2 Desemba]] [[2008]]. Grand Theft Auto IV ni mchezo wa kumi na moja katika mfululizo wa [[Grand Theft Auto]].
 
Mchezo huu ulitolewa kwa ajili ya [[PlayStation 3]] na [[Xbox 360]] tarehe [[29 Aprili]] [[2008]] na kwa ajili ya [[Microsoft Windows]] tarehe [[2 Desemba]] [[2008]]. Grand Theft Auto IV ni mchezo wa kumi na moja katika mfululizo wa [[Grand Theft Auto]].
 
== Viungo vya nje ==
{{Wikiquote|Grand Theft Auto IV}}
 
 
{{mbegu-michezo}}