Mao Zedong : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Mao Zedong in 1963 (cropped).jpg|thumb|Mao Zedong mwaka 1963.]]
 
'''Mao Zedong''' (* [[26 Desemba]] [[1893]] / +- [[9 Septemba]] [[1976]]) alikuwa [[kiongozi]] wa [[Chama cha Kikomunisti cha China]] tangu [[1935]] hadi [[kifo]] chake na pia kiongozi mkuu wa [[China]] tangu [[1949]].
 
Aliongoza [[wakomunisti]] katika [[vita]] dhidi ya [[jeshi]] la [[Japan]] wakati wa [[vita kuu ya pili ya dunia]] na katika [[vita vya wenyewe kwa wenyewe vya China]] dhidi ya [[serikali]] ya chama cha [[Kuomintang]] iliyoongozwa na [[Chiang Kaisheck]] vilipomalizika kwa [[ushindi]] wake [[mwaka]] [[1949]].