Sildenafil : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
spam
Mstari 2:
'''Sildenafil''' (huuzwa kwa jina la Viagra kati ya majina mengine) ni [[dawa]] inayotumika kutibu tatizo la kusimama kwa [[uume]] na [[shinikizo la damu]] la [[mshipa]] mkubwa [[Mapafu|mapafuni]].<ref name=AHFS2014>{{cite web|title=Sildenafil Citrate|url=https://www.drugs.com/monograph/sildenafil-citrate.html|publisher=The American Society of Health-System Pharmacists|accessdate=1 December 2014}}</ref>
 
Ufanisi wake katika kutibu tatizo kama hilo kwa [[wanawake]] haujathibitishwa kikamilifu ingawa zipo [[kampuni]] zinazodai kuwa na dawa hii.<ref name=AHFS2014/> <ref>[http://www.lady-era.net/generic-female-viagra.html Female Viagra]</ref>
 
Madhara ya kawaida ya dawa hii yanajumuisha [[maumivu]] ya [[kichwa]] na [[kiungulia]]. Tahadhari inatolewa kwa wale ambao wana [[ugonjwa]] wa [[moyo]]. Madhara makubwa yanajumuisha kusimama kwa uume kwa muda mrefu, ambapo huweza kusababisha uharibifu wa uume.