İzmir : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Izmir coast.jpg|thumb|left|270px|Pwani ya Izmir.]]
'''İzmir''', kwa [[jina]] la [[Historia|kihistoria]] [[Smyrna]], ni [[mji]] wa tatu kwa ukubwa katika [[Uturuki]], na ndiyondio mji wenye [[bandari]] kubwa baada ya [[Istanbul]]. Upo katika eneo la [[maji]] yatokayo [[Ghuba ya İzmir]], katika [[Bahari ya Aegean]].
 
Huu ni [[mji mkuu]] wa '''[[Mkoa wa İzmir]]''', ambao una eneo la [[kilomita za mraba]] zipatazo 7350.
 
Mji wa İzmir una [[wilaya]] zipatazo kumi. Wilaya hizo ni pamoja na ([[Balçova]], [[Bornova]], [[Buca]], [[Çiğli]], [[Gaziemir]], [[Güzelbahçe]], [[Karşıyaka]], [[Konak (Wilaya), İzmir|Konak]], [[Menemen]], na [[Narlıdere]]), ambazo kila moja ni tofauti sana na nyingine.
 
[[Kanisa]] la Smirna ni kati ya yale saba ambayo yaliandikiwa [[barua]] katika [[Ufunuo wa Yohane]], [[kitabu]] cha mwisho cha [[Agano Jipya]] na cha [[Biblia ya Kikristo]]. Ndilo linalosifiwa zaidi, hasa kutokana na [[kiongozi]] wake, [[askofu]] [[Polikarpo wa Smirna]].
 
== Idadi ya wakazi kwa miaka ==
Mstari 56:
 
== Viungo vya nje ==
{{commonscat}}
* [http://www.turkey.vg/common/icerik.asp?profile=&konu=icerik_goster&icerik_id=281&baslik=Izmir%20-%20City%20Guide%20-%20TOURISM All about izmir]
* {{cite web | title = İzmir by Night Photographs I| url = http://erolozdayi.com/index.php?option=com_zoom&Itemid=28&catid=2 | author = Erol Özdayı | publisher = |date= | language= Turkish}} {{cite web | title = İzmir by Night Photographs II| url = http://www.melihinanli.com/Galeriler/GeceIzmir/index.html | author = Melih İnanlı | publisher = [http://www.ifod.org İzmir Photographic Arts Society]|date= | language= Turkish}}
Line 61 ⟶ 62:
* {{cite web | title = Landslide, Earthquake & Flood Hazard Risks of Izmir Metropolitan City, A Case: Altindag Landslide Areas | url = http://www.waset.org/pwaset/v17/v17-53.pdf| author = Ahmet Kıvanç Kutluca, Semahat Özdemir| publisher = Proceedings of [http://www.waset.org WASET] (World Academy of Science, Engineering and Technology), Volume 17| date= 2006-12-17 }}
</div>
{{commonscat}}
 
{{Miji ya Uturuki}}
 
{{mbegu-jio-Uturuki}}