Itikadi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 85 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q7257 (translate me)
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 1:
'''Itikadi''' ni mkusanyiko wa imani unaoshirikiwa na kikundo cha watu fulani.
 
Kuna aina kuu mbili za itikadi: ''itikadiitikai za kisiasa'', na ''itikadi za kiepistemolojia'' (ni sehemu ya falsafa ambayo inahusu utafiti wa jinsi tunavyojua mambo). Itikadi ya kisiasa ni upangiliaji unaohusu mawazo ya kimaadili na vipi nchi itaendeshwa. Itikadi za kiepistemolojia ni upangiliaji unaohusu mawazo ya kifalsafa, ulimwengu, na jinsi gani watu wanapaswa kufanya maamuzi.
 
Kuna aina nyingi za itikadi. Moja kati ya hizo ni pamoja na [[Ukomunisti]], [[Usoshalisti]], na [[ubepari]] ni itikadi kubwa sana za kiuchumi na kisiasa kwa ujumla.