Muachano : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 9:
Umeandikwa kwa herufi ya [[Kigiriki]] '''σ<sup>2</sup>''' au kwa herufi ya [[Kilatini]] '''V'''
 
Muachano ni [[kipeo]] cha pili]] (square) ya [[mkengeuko wastani]]. Kwa hivyo mkengeuko wastani ni [[kipeuo cha pili (square root)]] cha muachano.
 
Muachano ni [[kipimo cha tawanyiko]] kama mkengeuko wastani au masafa.