Itikadi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
d Masahihisho aliyefanya 2A02:C7F:924A:C300:4514:9616:2654:5F89 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Addbot
Tag: Rollback
Mstari 1:
'''Itikadi''' ni mkusanyiko wa imani unaoshirikiwa na kikundo cha watu fulani.
 
Kuna aina kuu mbili za itikadi: ''itikaiitikadi za kisiasa'', na ''itikadi za kiepistemolojia'' (ni sehemu ya falsafa ambayo inahusu utafiti wa jinsi tunavyojua mambo). Itikadi ya kisiasa ni upangiliaji unaohusu mawazo ya kimaadili na vipi nchi itaendeshwa. Itikadi za kiepistemolojia ni upangiliaji unaohusu mawazo ya kifalsafa, ulimwengu, na jinsi gani watu wanapaswa kufanya maamuzi.
 
Kuna aina nyingi za itikadi. Moja kati ya hizo ni pamoja na [[Ukomunisti]], [[Usoshalisti]], na [[ubepari]] ni itikadi kubwa sana za kiuchumi na kisiasa kwa ujumla.