Jalidi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Picha:Air Hoar Frost 2008-02-07.jpg|300px|thumb|Jalidi husababisha kuganda kwa mvuke wa maji uliopo hewani ukikusanyika kwenye matawi ya miti]]
'''Jalidi''' ni hali ya [[baridi]] ambakoambapo [[halijoto]] inafikia chini ya kiwango cha [[sentigredi]] 0. Hii ni kiwango ambako [[maji]] yanaanza kuganda kuwa [[barafu]].
 
Jalidi kama halijoto inaathiri [[viumbehai]] na [[mimea]] kwa sababu huwa na [[maji]] katika [[miili]] yao. Mimea inakufa katika hali ya jalidi kama maji ndani ya [[seli]] zao inaganda; maji ikigandayakiganda inapanuayanapanua [[mjao]] wake hivyo kupasua seli. Mimea hiihiyo au sehemu zao zilizokufa huwa nyeusi na hali hii hutiwa jalidi pia (kwa [[Kiing.Kiingereza]]: [[w:Frost#Black frost|black frost]]).
 
Mimea ya nchi ambako jalidi ni hali ya kawaida wakati wa [[majira ya baridi]] ina uwezo wa kukauka kabla ya majira ya jalidi kuanza. Katika [[mazingira]] ya [[joto]] mimea hufa mara nyingi kama baridi huwa kali.
 
Kama hali ya jalidi inaendelea kwa [[wiki]] mfululizo inaathiri pia ardhiardh,i yaani [[udongo]]. Ardhi yenyewe inaganda hadi [[kimo]] fulani kinachotegemea [[muda]] wa kudumu kwa jalidi. Kwa hiyo [[bomba|mabomba]] ya [[maji]] yanawekwa chini ya ardhi kwenye kimo ambako kwa kawaida jalidi haifiki. LakiniHata hivyo, kama majirabaridi ni kali sana hata hivyo maji yanaweza kuganda ndani ya mabomba na kupasua bomba. Katika mazingira penyeyenye jalidi kunatokea pia uharibifu wa [[barabara]] kama maji ya [[mvua]] yameingia katika tako la barabara au katika mapengo madogo kwenye [[lami]] na kuganda baadaye; maana maji yaliyoganda hupabnukahupanuka kidogo na hivyo kupasua lami.
 
Katika mazingira baridi sana kama [[aktikiAktiki]] au [[antaktikiAntaktiki]] jalidi unaingiainaingia katika udongo hadi kimo cha [[mita]] kadhaa. Katika mazingira hayahayo [[majirajoto]] ni fupimafupi mno, hivyo kuna sehemu za juu za ardhi pekee inayopoazinazopoa lakini chini yake bado kuna [[jalidi ya kudumu]] (ing. ''permafrost''). Hii inazuia [[uoto]] wa [[miti]] na kutokea kwa [[tundra]] kwa mfano katika maeneo mapana ya [[Urusi]] wa [[Kaskazini]] na [[Alaska]].
 
{{mbegu-sayansi}}