Jangwa la Kalahari : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 8:
Jina "Kalahari" latokana na neno la Kitswana "Kgala", linalomaanisha "kiuu kikubwa" au kutoka "Kgalagadi" inayomaanisha "pasipo na maji". Kalahari pana maeneo makubwa yaliyofunikwa kwa mchanga tu bila maji ya kudumu.
 
==Tabia==
Kalahari huwa na wanyama na mimea kadhaa kwa sababu sehemu kubwa si jangwa kabisa. Kuna kiasi kidogo cha mvua. Majira ya joto ni kali sana. Maeneo penye ukavu zaidi huwa na milimita 110-200 zamvua kwa mwaka. Maeneo penye usimbisaji mkubwa zaidi huwa na milimita 500.
 
Korongo kavu za mito ya zamani inapatikana kwatika kaskazini ya Kalahari , zikijaa maji wakati wa mvua yanayobaki kama mabwawa madogo kwa miezi kadhaa.
Beseni ya Kalahari ni pana zaidi ikikusanya maji yote yanayotirika mle kwenye eneo la km<sup><small>2</small></sup> milioni 2.5. Beseni hii huenea hadi [[Botswana|Botswana,]] [[Namibia]] na [[Afrika Kusini]], pamoja na sehemu za [[Angola]], [[Zambia]] na [[Zimbabwe]].
 
==Beseni ya Kalahari==
Kuna mto mmoja wa kudumu pekee ambao ni mto Okavango. Okavango inaishia katika [[delta ya ndani]] inayofanya sehemu za vinamasi pwenye wanyama wengi wa pori.

==Tanbihi==