Tassili n'Ajjer : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:TassiliNajjerNationalParkLocation.jpg|350px|thumb|Ramani ya hifadhi ya Tassili N'ajjer]]
'''Tassili n'Ajjer''' ni safu ya [[Safu ya milima|safu]] ya [[milima]] katika [[Sahara|Jangwa la Sahara]] nchini [[Aljeria]]. Kutokana na [[mimea]] iliyoweza kudumu hapa imetambuliwa kama hifadhi ya [[bioanwai]]. Kuna pia [[Michoro ya miambani|michoro mingi ya miambani]] kutoka enzi ya [[historia ya awali]]. Eneo lote limekuwa hifadhi ya kitaifa na kupokelewakupokewa na [[UNESCO]] kamakatika orodha ya [[urithi wa dunia]].
 
== Jiografia ==
Tassili n'Ajjer inaenea kwa [[kilomita za mraba]] 72,000 kwenye na mpaka wa Aljeria na [[Libya]] na [[Niger]]. Inapakana na [[Ahaggar|milima ya Ahaggar]]. Ndani yake kuna [[mlima wa Adrar Afao]] unaofikia [[mita]] 2,158 juu ya [[UB]]. [[Mji]] ulio karibu ni [[Djanet]].
 
== Bioanwai ==
[[Picha:Djanet tassili n'ajjers.JPG|250px|thumb|Bonde kwenye Tassili N'ajjer lenye miti.]]
[[Kimo]] cha [[nyanda za juu]] kinapunguza [[joto]] kiasi kulingana na [[tambarare]] za [[jangwa]] katika [[mazingira]] yake. [[Miamba]] inaweza kutunza [[maji]] ndani yake na hivyo kuwezesha [[uoto]] zaidi kuliko jangwani. Kwa hiyo [[Bonde|mabonde]] ya juu huwa na uoto wa [[miti]] iliyopotea tayari penginepo kama ''Cupressus dupreziana'' na ''Myrtus nivellei''. Michoro ya miambani inaonyesha kwamba zamani milima ilijaa wanyama pori[[wanyamapori]] wa aina nyingi lakini [[mamba]] walipotea tangu miaka 100. [[Kondoo mwitu]] bado wanapatikana.
 
== Sanaa ya mwambani ==
[[Picha:HenriLhote.jpg|250px|thumb|Mwanaakiolojia Mfaransa Lhote mbele ya mwamba unaooyesha picha za watu waliopanda farasi]]
Milima hii inajulikana sana kwa [[sanaa]] ya miambani, ambayo ni hasa [[oicha]] maelfu[[elfu]] kadhaa zilizochongwa kwenye uso wa mwamba na kuonyesha watu, [[ngoma]] zao na [[wanyama]] kama vile [[ng'ombe]], [[tembo]], [[twiga]] na [[kiboko]]. Picha hizi zimekadiriwa kuwa na umri wa miaka mielfuelfu kadhaa, za kale zina miaka 12,000<ref>[https://www.africanworldheritagesites.org/cultural-places/rock-art-pre-history/tassili-najjer.html Tassili N'Ajjer, Algeria], tovuti ya africanworldheritagesites.org, iliangaliwa Novemba 2019</ref>.
 
== Marejeo ==
{{Reflist}}
{{commons category}}
{{wikivoyage|Tassili n'Ajjer Cultural Park}}
* [http://whc.unesco.org/en/list/179/video Video]
* [http://naturalarches.org/tassili/ The natural arches of the Tassili n'Ajjer]
 
==Kujisomea==
Line 39 ⟶ 35:
* Whitley, D S (ed) (2001) ''Handbook of Rock Art Research'' New York: Altamira Press.
 
==Viungo vya nje==
{{commons category}}
{{wikivoyage|Tassili n'Ajjer Cultural Park}}
* [http://whc.unesco.org/en/list/179/video Video]
* [http://naturalarches.org/tassili/ The natural arches of the Tassili n'Ajjer]
 
[[Jamii:Mahali pa Urithi wa Dunia katika Afrika]]