Kituruki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
+viungo vya nje
Kituruki - Kiturki
Mstari 1:
[[Picha:Usambaji wa Kituruki.png|thumb|350px|Usambaji wa wasemaji wa Kituruki]]
'''Kituruki''' (Türkçe, ing. ''Turkish'') ni lugha rasmi nchini [[Uturuki]]. Ni lugha yenye wasemaji milioni 80. Hivyo ni lugha yenye wasemaji wengi kati ya [[Lugha za Kiturki]] zinazozungumzwa na watu milioni 170 katika [[Asia ya Magharibi]] na [[Asia ya Kati]].
 
Kituruki cha Uturuki ni lugha kubwa katika kundi la lugha zinazofanana zinazoitwa "Kiturki" (ing. ''Turkic'')
 
Kuna wasemaji nchini Uturuki, kwenye kisiwa cha [[Kupro]], [[Bulgaria]], [[Ugiriki]], [[Masedonia]] na katika nchi kadhaa zilizokuwa sehemu za Dola la Uturuki. Kutokana na uhamiaji wa Waturuki kuna pia wasemaji mamilioni katika nchi za [[Umoja wa Ulaya]].