Tofauti kati ya marekesbisho "Krim"

79 bytes added ,  mwaka 1 uliopita
no edit summary
[[Picha:Map of Ukraine political simple Oblast Krim.png|thumb|250px|Krim katika Ukraine]]
[[Picha:LocationCrimea.PNG|thumb|250px|Mahali pa Krim (kijani cheusi) katika Ukraine (kijani cheupe) na Ulaya]]
'''Krim''' ([[Rus.]] Крым ''Krym''; [[Ukr.]] Крим Krim; [[Kitartari]] Qırım; [[ing.]] ''Crimea'') ni [[rasi]] kwenye upande wa kaskazini ya [[Bahari Nyeusi]] yenye eneo la 26.100 [[km²]]. Kisiasa ni jimbo la kujitawala ndani ya nchi ya [[Ukraine]] na jina rasmi ni "Jamhuri ya kujitawala ya Krim". Tangu mwaka 2014 ilivamiwa na kutekwa na jeshi la [[Urusi]] na kutangaziwa kuwa sehemu ya Urusi, hatua isiyotambuliwa na umma wa kimataifa. Zaidi ya nusu ya wakazi 1.994.300 (mwaka 2005) ni Warusi (58,5 %), takriban robo Waukraine (24,4 %) halafu kuna pia Tartari 243.400 (12,1 %).
 
==Historia==