Kituruki : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Kituruki - Kiturki |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[Picha:Usambaji wa Kituruki.png|thumb|350px|Usambaji wa wasemaji wa Kituruki]]
'''Kituruki''' ([[jina]] asili: Türkçe,
Kuna wasemaji nchini Uturuki, kwenye [[kisiwa]] cha [[Kupro]], [[Bulgaria]], [[Ugiriki]], [[Masedonia]] na katika nchi kadhaa zilizokuwa sehemu za [[Dola la Uturuki]]. Kutokana na [[uhamiaji]] wa Waturuki kuna pia wasemaji
Kituruki cha Uturuki ni lugha kubwa katika kundi la lugha zinazofanana zinazoitwa "Kiturki" (ing. ''Turkic'') ▼
▲Kituruki cha Uturuki ni lugha kubwa katika [[kundi]] la lugha zinazofanana zinazoitwa
▲Kuna wasemaji nchini Uturuki, kwenye kisiwa cha [[Kupro]], [[Bulgaria]], [[Ugiriki]], [[Masedonia]] na katika nchi kadhaa zilizokuwa sehemu za Dola la Uturuki. Kutokana na uhamiaji wa Waturuki kuna pia wasemaji mamilioni katika nchi za [[Umoja wa Ulaya]].
Wasemaji wa lugha za
Hadi [[Atatürk]] Kituruki kile kilitumia [[Neno|maneno]] mengi ya [[Kiarabu]] na [[Kiajemi]] kikaandikwa pia kwa [[Alfabeti ya Kiarabu]]. Tangu mwaka [[1923]] lugha imeandikwa kwa [[alfabeti ya Kilatini]] na maneno yenye [[asili]] ndani ya Kituruki yalitafutwa.▼
▲Wasemaji wa lugha za kiturki ziliingia katika eneo la Uturuki ya leo tangu mwaka [[1000]]. Wakati wa [[Dola la Uturuki]] lugha yao ilikuwa lugha ya utawala na [[fasihi andishi]].
▲Hadi [[Atatürk]] Kituruki kile kilitumia maneno mengi ya [[Kiarabu]] na [[Kiajemi]] kikaandikwa pia kwa [[Alfabeti ya Kiarabu]]. Tangu mwaka 1923 lugha imeandikwa kwa [[alfabeti ya Kilatini]] na maneno yenye asili ndani ya Kituruki yalitafutwa.
==Viungo vya nje==
Line 16 ⟶ 14:
*[http://glottolog.org/resource/languoid/id/nucl1301 lugha ya Kituruki katika Glottolog]
*http://www.ethnologue.com/language/tur
{{mbegu-lugha}}
{{DEFAULTSORT:Turuki}}
[[Jamii:Uturuki|Kituruki]]
|