Kituruki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 4:
Kuna wasemaji nchini Uturuki, kwenye [[kisiwa]] cha [[Kupro]], [[Bulgaria]], [[Ugiriki]], [[Masedonia]] na katika nchi kadhaa zilizokuwa sehemu za [[Dola la Uturuki]]. Kutokana na [[uhamiaji]] wa Waturuki kuna pia wasemaji milioni kadhaa katika nchi za [[Umoja wa Ulaya]].
 
Kituruki cha Uturuki ni lugha kubwa katika [[kundi]] la lugha zinazofanana zinazoitwa "[[Kiturki]]" (ing. ''Turkic''). Hivyo wasemaji wa Kituruki huelewana kwa kiasi kikubwa na wasemaji wa [[KiazerbaijanKiazeri]], [[Kiturkmen]] na [[Kiqashgai]].
 
Wasemaji wa lugha za Kiturki waliingia katika eneo la Uturuki ya leo tangu [[mwaka]] [[1000]]. Wakati wa [[Dola la Uturuki]] lugha yao ilikuwa lugha ya [[utawala]] na [[fasihi andishi]].