74,295
edits
[[Picha:Map of Ukraine political simple Oblast Krim.png|thumb|250px|Krim katika Ukraine]]
[[Picha:LocationCrimea.PNG|thumb|250px|Mahali pa Krim (kijani cheusi) katika Ukraine (kijani cheupe) na Ulaya]]
'''Krim''' (kwa [[
Kisiasa ni jimbo la kujitawala ndani ya nchi ya [[Ukraine]] na [[jina rasmi]] ni "Jamhuri ya kujitawala ya Krim". Tangu [[mwaka]] [[2014]] ilivamiwa na kutekwa na [[jeshi]] la [[Urusi]] na kutangazwa kuwa sehemu ya Urusi, hatua isiyotambuliwa na umma wa kimataifa. Zaidi ya [[nusu]] ya wakazi 1.994.300 (mwaka [[2005]]) ni [[Warusi]] (58,5 [[%]]), takriban [[robo]] Waukraine (24,4 %) halafu kuna pia [[Watartari]] 243.400 (12,1 %).
==Historia==
Rasi hii ina [[historia]] ndefu iliyoona mabadiliko mengi kiasi
Katika historia inayojulikana Krim ilitawaliwa na [[Waskithi]], [[Wagiriki wa Kale]], [[Roma ya Kale]], [[Wagothi]], [[Bizanti]], [[Wahunni]], [[Wakhazari]], [[Milki ya Wamongolia|Wamongolia]], [[Waitalia]] kutoka [[Venezia]] na [[Genua]], [[Watartari]], [[Waosmani]], [[Urusi]] na tangu [[1991]] nchi huru ya Ukraine.▼
Kwa muda mrefu [[lugha ya mawasiliano]] ilikuwa [[Kigiriki]] hadi kuingia kwa Watartari [[Waislamu]] mnamo [[karne ya 15]] walioleta [[lugha]] yao ya [[Kiturki]]. ▼
▲Katika historia inayojulikana Krim ilitawaliwa na [[Waskithi]], [[Wagiriki wa Kale]], [[Roma ya Kale]], [[Wagothi]], [[Bizanti]], [[Wahunni]], [[Wakhazari]], [[Milki ya Wamongolia|Wamongolia]], Waitalia kutoka [[Venezia]] na [[Genua]], [[Watartari]], [[Waosmani]], [[Urusi]] na tangu 1991 nchi huru ya Ukraine.
Tangu mwaka [[1783]] Krim ilikuwa sehemu ya [[Milki ya Urusi]] na Warusi walileta [[walowezi]] wengi kutoka kwao. Sehemu ya Watartari walihamia [[Uturuki]]. Chini ya utawala wa Kirusi muundo wa wakazi ulibadilika hadi Warusi walikuwa [[kundi]] kubwa.▼
▲Kwa muda mrefu lugha ya mawasiliano ilikuwa Kigiriki hadi kuingia kwa Watartari Waislamu mnamo [[karne ya 15]] walioleta lugha yao ya [[Kiturki]].
Katika miaka [[1853]] hadi [[1856]] rasi iliathiriwa vibaya na [[vita ya Krim]] ambako jeshi la [[Waturuki Waosmani]] pamoja na [[Uingereza]] na [[Ufaransa]] lilishambulia [[ngome]] ya Kirusi ya [[Sevastopol]].▼
▲Tangu 1783 Krim ilikuwa sehemu ya Milki ya Urusi na Warusi walileta walowezi wengi kutoka kwao. Sehemu ya Watartari walihamia Uturuki. Chini ya utawala wa Kirusi muundo wa wakazi ulibadilika hadi Warusi walikuwa kundi kubwa.
Baada ya kuporomoka kwa Milki ya Urusi mwaka [[1917]] Watartari walitangaza [[jamhuri]]
▲1853 hadi 1856 rasi iliathiriwa vibaya na [[vita ya Krim]] ambako jeshi la [[Waturuki Waosmani]] pamoja na Uingereza na Ufaransa lilishambulia ngome ya Kirusi ya [[Sevastopol]].
Mwaka [[1954]] serikali ya Umoja wa Kisovyieti iliamua kuhamisha eneo lote la Krim kutoka jamhuri ya Urusi kwenda [[Jamhuri ya Kisovyeti ya Kijamii ya Kiukraine]]. Tangu
▲Baada ya kuporomoka kwa Milki ya Urusi mwaka 1917 Watartari walitangaza jamhuri la kujitegemea kwa muda mfupi. Tangu 1918 Krim ilirudishwa Urusi kwa nguvu ya kijeshi na kuwa sehemu ya [[Shirikisho la Jamhuri ya Kisovyiet ya Kijamii ya Kirusi]] ndani ya [[Umoja wa Kisovyeti]]. Hapa Krim ilikuwa eneo la kujitawala chini ya Urusi. Mwaka [[1944]], wakati wa [[Vita Kuu ya Pili ya Dunia]] Watartari wote walifukuzwa katika Krim kwa amri ya Stalin na kupelekwa sehemu za Asia ya Kati hasa [[Uzbekistan]].
Wakati Umoja wa Kisovyeti ulipoporomoka na Ukraine kuwa nchi huru mwaka [[1991]] rasi ya Krim ilikuwa ndani ya Ukraine kwa hali ya "Jamhuri ya kujitawala ya Krim".
▲Mwaka 1954 serikali ya Umoja wa Kisovyieti iliamua kuhamisha eneo lote la Krim kutoka jamhuri ya Urusi kwenda [[Jamhuri ya Kisovyeti ya Kijamii ya Kiukraine]]. Kuanzia miaka ya 1980 Watartari walianza kurudi Krim kutoka sehemu za Asia ya Kati. Leo hii wako tena na lugha yao inakubalika kama lugha rasmi kimkoa pamoja na Kirusi.
{{mbegu-jio-Ulaya}}
[[Jamii:Ukraine| ]]
[[Jamii:Bahari Nyeusi|K]]
[[jamii:Rasi za Ulaya]]
|